Kuhusu Kituo cha Akaunti au Akaunti za Meta

Tunasasisha watu polepole kwenye Akaunti za Meta. Unaweza kuona mipangilio ya Kituo cha Akaunti au Akaunti ya Meta kama mahali pa kudhibiti mipangilio ya akaunti yako.
WhatsApp katika Kituo cha Akaunti haipatikani kila mahali.
Kituo chako cha Akaunti ni mahali ambapo unaweza kudhibiti matumizi yaliyounganishwa kama vile kuingia katika akaunti zako zote, na kubadilisha mipangilio ya akaunti kama vile maelezo yako ya mawasiliano, mapendeleo ya matangazo na malipo kwenye akaunti zako za Facebook, Instagram, WhatsApp na Meta. Note: WhatsApp katika Kituo cha Akaunti haipatikani kwa sasa nchini Korea Kusini.
Unaweza kuongeza akaunti za Facebook, Instagram, WhatsApp na Meta kwenye Kituo sawa cha Akaunti.
Baada ya kuongeza akaunti kwenye Kituo sawa cha Akaunti, tutatumia maelezo kwenye akaunti hizo ili kukupa hali ya matumizi iliyobinafsishwa zaidi kama vile matangazo yaliyobinafsishwa na kupendekeza akaunti za kufuata katika teknolojia zote za Meta kama vile Facebook, Instagram, WhatsApp na Meta Horizon.
Jifunze jinsi yakufuta au kulemaza wa muda akaunti ya Facebook kupitia Kituo cha Akaunti.

Ongeza akaunti yako ya Facebook kwenye Kituo cha Akaunti

Wezesha hali za matumizi zilizounganishwa kwenye akaunti zako zote

Njia zingine za kupata msaada

Piga gumzo na kisaidizi cha Meta AI
Tatua masuala, fanya mabadiliko na upate msaada katika muda halisi